Sunday, 24 January 2016

Hofu ugonjwa wa MERS kuenea Thailand



Hofu ugonjwa wa MERS kuenea Thailand


ImageReuters
ImageHofu ugonjwa wa MERS kuenea Thailand
Maafisa wa afya wa Thailand, wanajaribu kuwatafuta watu kadha ambao wamekaribiana na mzee mmoja kutoka Oman, ambaye baada ya kukaguliwa, alionekana ana virusi vya ugonjwa wa mapafu wa Mashariki ya kati, MERS.
Mzee huyo wa miaka 71, aliwasili Bangkok Ijumaa.
ImageReuters
ImageHicho ni kisa cha pili cha ugonjwa wa MERS nchini Thailand.
Wizara ya Afya nchini humo, imesema watu 37, pamoja na mtoto wa bwana huyo aliyesafiri naye wako katika hatari ya kuambukizwa virusi hivyo.
Hicho ni kisa cha pili cha ugonjwa wa MERS nchini Thailand.

No comments:

Post a Comment